BREAKING NEWS:MBUNGE AFARIKI DUNIA.
Mbunge wa jimbo la Geita Donald Max amefariki dunia leo jioni ya
Juni 23, 2015 katika hospitali ya Taifa Muhimbili.
Katibu wa bunge Dr Thomas Kashilila amethibitisha kutokea kwa kifo
hicho na kwamba taarifa zaidi zitatolewa kesho Juni 24, 2015
No comments:
Post a Comment