BREAKING NEWS:MOTO MKUBWA UNAENDELEA KUUNGUZA NYUMBA YA MKAZI WA MABIBO SAHARA.
Moto umezuka Mabibo Sahara ambao chanzo chake kinasemekana kuwa ni jiko la gesi ,Moto huo umezimwa na wananchi kwa kutumia maji zoezi la uzimaji linaendelea vizuri.
JIONEE PICHA ZA TUKIOO.
No comments:
Post a Comment