Mamlaka ya
chakula na dawa kanda ya kati imeteketeza tani mbili za vyakula vilivyoisha
muda wa matumizi na vipodozi vyenye viambata vya sumu vyenye thamani ya zaidi
ya shilingi milioni kumi na mbili, ambavyo vimekutwa katika maduka ya dawa na
vipodozi katika manispaa ya Singida.

No comments:
Post a Comment