Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka mitano hadi sita ameuwa
kikatili jijini Dar es salaam baada ya kubakwa na kasha kunyongwa shingo huku
akidaiw akunyofolewa sehemu za siri.
Mwili wa mototo huyo unadaiwa kutelekezwa katika moja ya nyumba
iliyokuwa haijaisha na kugunduliwa na kijana aliyekuwa akiokota chupa tupu za
maji eneo la tabata kisiwani, Dar es salaam.
Baadhi ya mashuhuda walisema walilaani tukio hilona kusema na
ukatili huo ni wa kwanza kutokeo mtaani hapo.

No comments:
Post a Comment