Mwanariadha wa zamani Bruce Jenner ambaye katika mashindano ya Olympics mwaka 1976 alitunukiwa medali ya dhahabu, amejibadilisha jinsia na kuwa mwanamke na amebadilisha jina lake, sasa kuitwa Caitlyn Jenner.
Alikuwa baba wa kambo kwenye familia maarufu ya Kardashians.

No comments:
Post a Comment