Mgogoro kati
ya wanafunzi wa kozi ya famasia na chuo kikuu cha Kampala umeingia sura mpya
baada ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma kozi hiyo kueleza kusudio lao la kwenda
kuonana na rais Kikwete ili kujua hatma ya watoto wao huku idadi kubwa ya
wanafunzi wakiwa hawaripoti chuoni licha ya matamko mbalimbali yaliyotolewa na
serikali.

No comments:
Post a Comment