Muda wowote kuanzia sasa mshambulizi kiongozi wa Mtibwa Sugar Ame Ally
atatua Azam FC, Mazungumzo baina ya mchezaji na Uongozi wa Mtibwa Sugar
yamekamilika, kilichosalia ni kwa mchezaji kumalizia taratibu za
kujiunga na Azam FC na kutangazwa rasmi...
No comments:
Post a Comment