Sarah Amin,
mmoja wa wake wa Rais wa zamani wa Uganda Idi Amin, amefariki dunia jijini
London, kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la Uganda. Amin alimuoa Sarah
katika harusi kubwa mwaka 1975. Kwa mujibu wa Monitor, Sarah alikuwa mneguaji
katika bendi ya jeshi walipokutana, na walitengana muda mfupi baada ya Amin kung'olewa
madarakani mwaka 1979.

No comments:
Post a Comment