Msanii wa muziki Nuh
Mziwanda, baada ya kuvuka kihunzi cha skendo ya kumpachika mimba binti, na
kupelekea msukosuko katika penzi lake na Shilole, hatimaye ameongea na eNewz na
kueleza mipango yake ya kuzaa mtoto na Shilole
Nuh ameileza eNewz kuwa, yeye pamoja na Shilole wanapenda sana
kupata mtoto wao, ila anafahamu kuwa hiyo ni mipango ya Mungu na wakati wowote kutoka
sasa ikitokea baraka hiyo watafurahi, huku akiweka mipango ya ndoa baada ya
kutambulishana kwa wazazi.

No comments:
Post a Comment