Leo kulikuwa na mchezo mkali kombe la jezi kati ya SHORT STREET NA BICHI mashindano hayo yanayo fanyika katika uwanja wa sahara,lakini mchezo huo aukuendele baada ya baadhi wa mashabiki kupola mpira na kuondoka nao lakini mpaka reporter wa SAHARA SUPER GYM aondoke kulikuwa bado apajaeleweka.maona katika mchezo wowote ule ni vizuri tufate sheria za michezo ili tukuze vipaji vyetu.
Unaweza kuchangia.

No comments:
Post a Comment