Jaji Agustino Ramadhani
kuchukua fomu ya kuwania Urais, akiandika katika ukurasa wake wa Instagram na
twitter Ridhiwani kikwete ameandika hivi.
Mchakato unanogeshwa zaidi na Muadilifu, Mchungaji na Nguli katika Fani ya Sheria Le Afande Brig. Mstaafu Augustino Ramadhani. Hii ndiyo Ccm Bwana.

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu
wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya
wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.
Nahisi kama Jaji Ramdhani ndiye atakuwa mgombea kupitia CCM, na mgombea mwenza wake atakuwa Dr Asha Rose Migiro, turufu hii ikishindwa basi CCM watampitisha Dr Augustino Mahiga na mgombea mweza wake atakuwa mama Amina Salum Ally.

No comments:
Post a Comment