Muigizaji marufu na
x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge
wa viti maalum kupitia CCM.
Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm kilichorushwa hewani tarehe 16 juni 2015 mmiliki huyo wa lebo ya Endless Fame amethibitisha hilo kwa njia ya simu alipohojiwa.

No comments:
Post a Comment