Mwandishi wa habari mwandamizi wa Shirika la
Utangazaji nchini TBC FLORENCY DYAULI amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
baada ya kuugua.
FLORENCE
DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika
hospitali RABININSIA MEMORIAL jijini DSM ambako alikuwa akipata matibabu.

No comments:
Post a Comment